Jarida juu ya Maisha ya MwAfrika katika huduma ya Ukristo

Yaliyomo ni kazi za Jim Harries alizoandikwa tangu mwaka wa 2006 mpaka 2019. Maandishi yake yanaangalia sana utumizi wa lugha kwa huduma ya Ukristo kwa bara la Afrika. Anataja mada mengine pia; utume, mafunzo ya Bi- blia, utamaduni wa Kiafrika, maendeleo, uchawi, nk. Alipendelea ayaweke ma- andishi yake pamoja ndani ya kitabu kimoja. Jim anatumaini maandishi yake yatakuwa himizo kwa wenyeji wa Afrika ya Mashariki kuandika maono ambayo wamepewa na Bwana, na yale waliojifunza kulingana na huduma …
12,00 €
Eventuell nicht lagernd - wir versuchen schnell zu besorgen
Alle Preise inkl. MwSt.
Artikelnummer: 540176000
EAN/ISBN: 9783862691760
Produktart: Bücher
Einband: Kt
Maße: 14,8 x 21 cm
Umfang: 107 S.
Veröffentlichungsdatum: 01.10.2019
Yaliyomo ni kazi za Jim Harries alizoandikwa tangu mwaka wa 2006 mpaka 2019. Maandishi yake yanaangalia sana utumizi wa lugha kwa huduma ya Ukristo kwa bara la Afrika. Anataja mada mengine pia; utume, mafunzo ya Bi- blia, utamaduni wa Kiafrika, maendeleo, uchawi, nk. Alipendelea ayaweke ma- andishi yake pamoja ndani ya kitabu kimoja. Jim anatumaini maandishi yake yatakuwa himizo kwa wenyeji wa Afrika ya Mashariki kuandika maono ambayo wamepewa na Bwana, na yale waliojifunza kulingana na huduma yao.